Origin: Unknown
Use: Saidi aliangukia manzi mpoa sana = Saidi was lucky to get a good girlfriend.
Period: Mid 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ a-ngu-ki-a ]
Relate: Wahi
Variations: -,
History: From Swahili "anguka" which means to "fall".
No replies yet. Start the conversation.
wewe ni mfupi hadi unabebanga fifty bob kama mabati.
Nasikia we ni mkonde mpaka uki turn una disappear
una masikio big ukiwa mtoi ulikuwa unabebwa kaa trophy
We mrefu mpaka KQ wanakuitia job ya kupanguza dirisha za ndege
Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic