Origin: Unknown
Use: Usha ng'am mami wa Jose? Ameparara jo! = Have you seen Joseph's babe?! She's so ugly!
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Inflected verb) [ a-me-pa-ra-ra ]
History: unknown
No replies yet. Start the conversation.
Kwenu muko wengi mpaka mathe hupika chapo mbili zingine anafanya photocopy ndio yeye na fathe wakule original
Kwenyu muko wengi, ukifungua mlango watu watatu wanadunda inje
Kwenu muko wadosi mpaka kuku zenu zinafanya aerobics saa kumi na kunywa juice instead ya maji
Manzi yako ame beat hadi badala ya kupelekwa extreem make ova, alipelekwa panel beating!
Kwenu nyi ni ma-miser mpaka price ya colgate ikipanda mnateta na hamna meno