Ati Unakipara ukivaa polo neck unakaa roll on
We mrefu mpaka KQ wanakuitia job ya kupanguza dirisha za ndege
We mrefu mpaka ukianza kuvaa handa by the time ifike kwa magoti ime rust
Asubuhi asubuhi koo na omena
Wewe ni mblack mpaka ukiwa karibu na makaa ya kuuza, customer anasema niwekee ile kubwa