Origin: Unknown
Use: Impress wa mine anakamu kutoka waks = My beautiful lady is coming from work
Period: Unknown
Synonyms: Msupa Msuupu Prity Shpleng Mbringish Tortoise Antelope
Pronounciation: (Noun) [ eeh-m-press ]
Relate: A person Beauty Gender
History: Derived from the English word "Empress in relation to royalty and beauty from folk lore
No replies yet. Start the conversation.
Wewe ni fala unarewind CD na biro pen
wewe ni mkonde mpaka ukisimama Kwa wall unakaa crack
We mchafu mpaka nzi ikikulandia inavaa slippers
Budako ni mjinga mpaka alipoingia kwa buu aliambia konda amshikie chuma ndio atoe pesa
ati nime sikia we ni munono adi uki faa shirti ya yellow una kaa school bus