Origin: Unknown
Use: Ile siku nitafika oteto hadi nishuke na kitu shua = When i go abroad i will have to come with a quality item
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Kee-tuh-shoo-ah ]
Relate: Kanyamo
Variations: -,
History: Made of two words "Kitu" means "thing" in Swahili. "Shua" is from English "Sure"
No replies yet. Start the conversation.
Ati we ni mchoyo mpaka line yako ya YU inaitwa ME
naskia shosh Yako Ako na mbio Hadi kwa mlango ameekewa bams
naskia nyi mmesota mpaka munapika chapo side moja
ukona maskio kubwa Hadi ukizaliwa daktari alikushika kama trophy
Kwenu nyi ni ma-miser mpaka price ya colgate ikipanda mnateta na hamna meno